Ushuhuda wa dada yangu: Ukioa mdada wa chuoni ambae kwao anaweza kurudi kirahisi tegemea kusingiziwa unamfanyia ubaya akiona majukumu ya ndoa magumu

Wewe ndiye wa ovyo sasa!.

Kijana kaleta kama case study, kumbuka hii ni elimu kuna mnaotakiwa kujifunza kutokana na hii mada.

Ndiyo maana hata mahakama huwa inaleta tukio mfanano ili kutoa hukumu kulingana na yako.
Mimi nimejifunza sana kusema kweli
 
Tunashukuru kwa tip
 
Ndoa za kisasa ili zidumu inabidi mwanaume asalimishe uanaume wake! Ni mwanaume bwege tu ndio anaweza kufanya huo ujinga.
Yani kuna mwanamke inabdi umpitishe kwenye kipindi flani hata kama una uwezo wa kumpa hela mpaka awe na Adabuu.. Jamaa anazingua kuendelea kutuma hela kiboya!
 
Ifikie sehemu nasi tubadilike kha! Eti ampashie maji asubuhi, fungeni heater hayo yakuogea kwa ndoo yafike sehemu yaishe, eti mke after nguo, mnajua nguo za wanaume zilivyo ngumu?, si tuhamie kwenye washing machine?, utasikia washing machine zinaharibu nguo, mbona mitumba tunanunua haijaharibika nao first owners walishaachana na kufua kwa mkono?
 
Kabisa,kuna baadhi ya wanaume wana mambo ya ajabu kweli. Uskute alikua hata hajali mwenzie amechoka anaforce mwenzie apigike zaidi badala ya kumpa msaada ukizingatia kasema ana mtoto mdogo.
Wezi kumbe mpo wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…