Uchaguzi 2020 Ushuhuda wa Deogratius Mahinyila, kijana aliyegombea Udiwani akaishia kushtakiwa kwa uhujumu Uchumi

Uchaguzi 2020 Ushuhuda wa Deogratius Mahinyila, kijana aliyegombea Udiwani akaishia kushtakiwa kwa uhujumu Uchumi

Mambo ya 2020 ni aibu itakayolitafuna taifa kwa vizazi vingi sana mbele. Infact wajukuu wetu hawatakaa waamini kwamba hayo yalitokea kwenye jamii ya watu wenye akili timamu.

..tatizo viongozi wanajidai hawajui kuwa kilichotokea kilikuwa ni JINAI, hivyo kulinyima taifa nafasi ya kuchukua hatua sahihi KUJISAHIHISHA.
 
uchaguzi wa 2019 na 2020 ilikuwa ni AIBU KUBWA sana kwa nchi..ilistahili baadhi ya Viongozi wa TAMISEMI na NEC wapelekwe kwa PILATO

..lakini pia Magufuli na vyombo vya dola walifanya uharibifu mkubwa sana ktk demokrasia yetu.

..kijana kama huyo mwanasheria Chadema wametumia miaka zaidi ya mitano mpaka kumfikisha akagombea ubunge.

..sasa ndoto zake zote zinaharibiwa na watawala wa hovyo wasiopenda haki itendeke kwa kila mwanajamii.
 
Back
Top Bottom