..Ni wakili msomi Deogratius Mahinyila.
..anaeleza dhuluma aliyofanyiwa ktk uchaguzi wa 2020.
View: https://www.youtube.com/watch?v=w8DGtcdh9qc
Mambo ya 2020 ni aibu itakayolitafuna taifa kwa vizazi vingi sana mbele. Infact wajukuu wetu hawatakaa waamini kwamba hayo yalitokea kwenye jamii ya watu wenye akili timamu.
Ndio hao wanaosimamia uchaguzi huu!..walioharibu uchaguzi wa 2020 wapelekwe mbele ya vyombo vya sheria.
Masudi Chupuchupu kutekwaHivi hizi zilikuwa kwenye magazeti kile kipindi ?
View attachment 3121101
View attachment 3121102
View attachment 3121103
View attachment 3121104
View attachment 3121105
View attachment 3121108
Duh aisee
..tatizo viongozi wanajidai hawajui kuwa kilichotokea kilikuwa ni JINAI, hivyo kulinyima taifa nafasi ya kuchukua hatua sahihi KUJISAHIHISHA.
Mnasema 2020, sijuwagi ni lini uchaguzi wapinzani walifanyiwa wema
uchaguzi wa 2019 na 2020 ilikuwa ni AIBU KUBWA sana kwa nchi..ilistahili baadhi ya Viongozi wa TAMISEMI na NEC wapelekwe kwa PILATO
Duh! We jamaa inakumbusha mbali sanaaHivi hizi zilikuwa kwenye magazeti kile kipindi ?
View attachment 3121101
View attachment 3121102
View attachment 3121103
View attachment 3121104
View attachment 3121105
View attachment 3121108
Ccm imesababisha apauke kwa kuipora haki yake.Wakili gani amepauka hivyo, mimi najua kazi ya wagogo ni wizi wa ngombe na kuuza nyama buchani, na ile ya Matonya