ushuhuda wa kweli-niliishi miaka 7 bila...

Hivi haukuwa na rasta? MIAKA SABA? DUH!:embarassed2:
 

Muonekano mzuri kwa nani naye alikuwa havui chupi kwa aibu............................lol
 
Ka toka la 6 hadi A'level haukuwahi kunyoa sasa si zilikuwa rasta kabisa!?
 

haaaah haaah haaah
 
seven years? aisee!! lakini ndo tatizo la watoto wa mjini. sasa huku kwetu tunaoga ziwani tena uchi kabisa, nakumbuka tukiwa wadogo wale kaka zetu walikuwa wakinyolea huko huko tukiwaona. kwahiyo hata wakati zinaanza kuota tulikuwa tuna darasa tayari. watoto wa siku izi hawaihitaji hata kufundishwa. Smile then ilikuwa kuwaje hadi ukaanza kunyoa? umenikumbusha rafiki yangu wa kike yeye anasema alipokuwa mdogo aliwahi kumfuma housegirl akizini nyumbani kwao na cousin yake, sasa she was trying to imagine that rod to penetrate in that, akawa anajichungulia na kujiuliza why kwake ni padogo vile! utoto kazi kweli
 
ahahaaa mkuu hamna mtu aliingia bwana
 

Haukuwa unasuka kweli wewe?
 
hahaaa noma ya nini mimi mwenyewe na enjoy sana for 4 years sijakata my arm pit hair... Hhahaaaa coz rafiki zangu German teenagers hua hawanyoi na mimi nimeamua kuishi bila kukata nywele za kwapa
hata hazina shida mbona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…