hahahahahahah!
My dia mie nilikuwaga mtundu sana aisee,
yani kwanza hata nikiwa sijawa nazo nilishajua zikiota nitafanyaje,
kwetu tulikuwa tunaishi na mama mdogo naye alikuwa bado madada tu,asa nikawa nawasikilizaga sana wakiongea mambo yao,
kuna siku akawa ndio anafundishwa kunyoa na kuvaa taulo za kike,nilijidai nimelala pale chumbani kumbe bluu tuth ya masikio iko wazi nikawa nasikia kila kitu,
hata siku mama alipokua akinipa hiyo lekcha tayari nilishakuwa naifahamu,so mie nikuwa najulishwa kila kitu na mama na still kuna mengi ya kimaisha na kimwanamke naendelea kupata maujuzi!!