ushuhuda wa kweli-niliishi miaka 7 bila...

Nakupongeza kwa thread yako ambayo imechangia kuwaelimisha wengi pamoja na changamoto ulizopewa. Ahsante
 
Nakupongeza kwa thread yako ambayo imechangia kuwaelimisha wengi pamoja na changamoto ulizopewa. Ahsante
niliteseka kweli kiakili hadi nilienda hosptal
 
Pole mamito wala sikushangai ni anina tu malezi ambayo ulikulia ndio maana,
Hasa huku mijin mda mwingi watoto wanabaki na wadada wa na wamama wanakuwa bize na kazi tu.

Mie nakumbuka fm one kuna binti naye alikuwa hajui km watu wananyoaga so nae akawa anaoga na chupi yake,
Mpaka fm two watu tukawa tunajiuliza mbona huyu havuagi chupi akioga siku moja akiwa amejipaka sabuni tukamvizia na kuishusha haki yanani ilikuwa ni afro ya ajabu,japo alilia sana kwa tulichomfanyia but badae tupomuelekeza na akaelewa alitushukuru.
 
Muonekano mzuri kwake mwenyewe maana kama ni aibu alikuwa anaona kwa watu wengine illa si kwake,kipende chako.

akitunze nacho kitamtunza............
 
niliteseka kweli kiakili hadi nilienda hosptal
Naomba kama inawezekana basi tupe na yaliyojili ulipoenda hospital maana stori yako imetupa changamoto sana na kwa kiasi kikubwa mimi binafsi sijawahi sikia kitu kama hiki hasa hapa kwetu Tz.
 
ahahaaaa wewe ulijuaje canta sema kweli
 
acha maneno kijana

Unakumbuka enzi zile za "Nganza" sekondari pale mwanza?
mimi nikiwa "Nsumba"?
Tulikua tuna kutana maeneo ya kitintale?
Ume sahau ulivo nitosa toka tuko form1 hadi form4?
 
unakumbuka enzi zile za "nganza" sekondari pale mwanza?
Mimi nikiwa "nsumba"?
Tulikua tuna kutana maeneo ya kitintale?
Ume sahau ulivo nitosa toka tuko form1 hadi form4?
ahahaaa ulisoma nsumba mwaka gani weye?
 
naomba kama inawezekana basi tupe na yaliyojili ulipoenda hospital maana stori yako imetupa changamoto sana na kwa kiasi kikubwa mimi binafsi sijawahi sikia kitu kama hiki hasa hapa kwetu tz.
ahahaaaa mtanicheka balaaa heshima itashuka kwa friends humu
 
Unakumbuka enzi zile za "Nganza" sekondari pale mwanza?
mimi nikiwa "Nsumba"?
Tulikua tuna kutana maeneo ya kitintale?
Ume sahau ulivo nitosa toka tuko form1 hadi form4?
Kweli alikuwa mgumu asilia,miaka yote hiyo alikuwa anakutosa!
Ila pongezi kwa kufukuzia kwa muda wte huo,swali,je ulipata?
 
Kweli alikuwa mgumu asilia,miaka yote hiyo alikuwa anakutosa!
Ila pongezi kwa kufukuzia kwa muda wte huo,swali,je ulipata?

Mmmh,hadi leo bana sijapata chochote.
Alipoenda chuo mi nilienda kufundisha kwanza,...
kamaliza masters mie ndo kwaaanza....................duh.

Sitegemei kumwambia tena "nakupenda" maana yupo dunia tofauti na mimi.
 
sasa ulikuwa hujiulizi za wenzako/vipochi manyoya nywele zimeenda wapi wakati mnaoga.... Haukujuaga definition ya wembe au mkasi???.. By the way its all abt life tym experience
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…