mmmmh huko nilikuwa st kayumba bado hata kipaimara bado bwana
dogo tu huyo
Kama kukucheka basi wangekuwa wamekwishafanya hivyo kwa stori hii uliyotupa maana kwa wengine ni ya kuchekesha ila ina mafunzo mengi hasa kwa watoto wetu kuhusu afya ya uzazi na makuzi kwa ujumla.ahahaaaa mtanicheka balaaa heshima itashuka kwa friends humu
Hahahahahahah!ahahaaaa wewe ulijuaje canta sema kweli
nilikuwa najiuliza saaana thats why nikaenda hadi hosp nilijua mimi siko normal mkuusasa ulikuwa hujiulizi za wenzako/vipochi manyoya nywele zimeenda wapi wakati mnaoga.... Haukujuaga definition ya wembe au mkasi???.. By the way its all abt life tym experience
yaani hata akidandia merikebu hafui dafu nini?
Tuseme hiyo dunia anayoishi siyo unayoishi wewe???Mmmh,hadi leo bana sijapata chochote.
Alipoenda chuo mi nilienda kufundisha kwanza,...
kamaliza masters mie ndo kwaaanza....................duh.
Sitegemei kumwambia tena "nakupenda" maana yupo dunia tofauti na mimi.
kweli wewe mjanja siku nyingi mimi kiukweli niko shy saaana hapa ni keyboard tu zinanisaidia.nilijua nina ulemavu ujue? Nikaenda hadi hosptal bwana ya huko sasa ahahaaaahahahahahahah!
My dia mie nilikuwaga mtundu sana aisee,
yani kwanza hata nikiwa sijawa nazo nilishajua zikiota nitafanyaje,
kwetu tulikuwa tunaishi na mama mdogo naye alikuwa bado madada tu,asa nikawa nawasikilizaga sana wakiongea mambo yao,
kuna siku akawa ndio anafundishwa kunyoa na kuvaa taulo za kike,nilijidai nimelala pale chumbani kumbe bluu tuth ya masikio iko wazi nikawa nasikia kila kitu,
hata siku mama alipokua akinipa hiyo lekcha tayari nilishakuwa naifahamu,so mie nikuwa najulishwa kila kitu na mama na still kuna mengi ya kimaisha na kimwanamke naendelea kupata maujuzi!!
Mmmh,hadi leo bana sijapata chochote.
Alipoenda chuo mi nilienda kufundisha kwanza,...
kamaliza masters mie ndo kwaaanza....................duh.
Sitegemei kumwambia tena "nakupenda" maana yupo dunia tofauti na mimi.
Pole mamito wala sikushangai ni anina tu malezi ambayo ulikulia ndio maana,
Hasa huku mijin mda mwingi watoto wanabaki na wadada wa na wamama wanakuwa bize na kazi tu.
Mie nakumbuka fm one kuna binti naye alikuwa hajui km watu wananyoaga so nae akawa anaoga na chupi yake,
Mpaka fm two watu tukawa tunajiuliza mbona huyu havuagi chupi akioga siku moja akiwa amejipaka sabuni tukamvizia na kuishusha haki yanani ilikuwa ni afro ya ajabu,japo alilia sana kwa tulichomfanyia but badae tupomuelekeza na akaelewa alitushukuru.
Hahhahahahhaaaa!kweli wewe mjanja siku nyingi mimi kiukweli niko shy saaana hapa ni keyboard tu zinanisaidia.nilijua nina ulemavu ujue? Nikaenda hadi hosptal bwana ya huko sasa ahahaaaa
kwani nywele zina kichefuchefu?
ahahaaaa usinikumbushepole dear.. I can imagine... Daah.. Yaani miaka saba si mchezo..
Nashukuru enzi hizo nilikuwa naishi na dada zangu na pia mama yangu hivyo walinipa maelekezo mazuri...
Aisee ni fedheha tena ndio kama watoto wa boarding mnaoga wote wenzio wote shwari.. Wewe ndo daaah.. Amazon forest! Mmh...
Khaaaaaaaaa!!!!Na mie waweza nielekeza ? Wahanga tupo wengi humu !
kweli mpendwa ndo maana yangu kubwa kushare na nyie hii story yangu.watoto wa kike tuna shida kwelipole mamito , ila tunajifunza wazazi wa sasa tuwe na muda wa kukaa na familia, pesa haitokuwa na maana kama watoo watakosa mafundisho kutoka kwa wazazi!!!!