kweli mwaya siwezi kurudia kosa kweli niliteseka sana na hayo mambo lakini nashukuru huo uoga na hofu ya kuwa nina ulemavu wa ma....zi uliniepusha na mabazaziomg! Smile, pole sana. Kwa kweli nimesikitika sana kwa haya mambo. Wazazi hawakukutendea haki kutokukufundisha mambo yote na jinsi ya kujisitiri pia. Tafadhali angalia usirudie kosa hili kwa wanao.
Khaaaaaaaaa!!!!
Makubwa haya,kwan na ww mpaka leo hujui?
Ok,usijali ila kwa msitu utakaokuwa nao,
Tafuta mapanga,majembe,mafyekeo na reki ya kukusanyia majani bila kusahau dumu la mafuta ya taa na kiberiti ili kazi ikiisha tuchome majani.
Ndio ivo na hii ni kutokana na ukubwa wa msitu ulionao coz km tangu zimeanza kuota hazijanyolewa bila hizo zana kazi haitafanyika aisee!Jembe ! Fyekeo, Reki ! Tena ! Mbona hizi tools zinafanana na zile nilizoanza nazo form 1 bording ? Ok naandaa !
wewe mimi mtu mzima kabisa
Toka zako hapa muongo weeeeeeeeeeeeee!!!
Yaani best umenichekesha sina mbavu, yaani hapo kwenye red mbavu zangu, pole na hongera kwa kuwa mwaminifu, maana unaonesha hukuchakachuliwa mapemanilipovunja ungo sikupata mtu wa kunielekeza chochote kuhusu mabadiliko ktk mwili wangu
nilikuwa la sita.
mojawapo ya jambo lililokuwa ninanishangaza ni pubic hair.sasa zikakua na kukua sikujua kama zinanyolewa nikawa nipo nazo miaka inakata. nilipoenda a level boarding nikiwa naoga na wenzangu mimi nilikuwa sivui underwear maana nilikuwa naona siko normal nilikuwa nashangaa mbona wao hawana hzo nywele huko?
hata wanaume walikuwa wakinitongoza nilikuwa nakataa cause nilijua wataniona huku nio aibu nikapanga kwenda kwa daktari bwana ..................................wewe
nashindwa kumalizia mtanicheka sana huku
my point ni vema mabinti waelezwe kuhusu mabadiliko katika miili yao live bwana
nilipovunja ungo
nikiwa naoga na wenzangu mimi nilikuwa sivui underwear
sio mara zote tulikuwa tunaoga wote incaseulivunja ungo- hukushtakiwa ha ha haaa(joke). Dada yangu hiyo miaka 7 na kila mwezi lazima uende kule kunako sayari ulimudu vipi. Ni lazima ulikuwa na kaharufu fulani! Jaribu kukumbuka vizuri.
Ulikuwa ukioga na wenzako huvui ile ya mwisho. Yaani wewe ulikuwa unajifuta maji then vaa uniform darasani kwisha habari!
Zile zawadi za kila mwezi plus chupi chafu embu jenga taswira ya kaharufu ulikokuwa unakatoa! Kweli wewe jasiri!
sio mara zote tulikuwa tunaoga wote incase
Ulivunja ungo- Hukushtakiwa ha ha haaa(joke). dada yangu hiyo miaka 7 na kila mwezi lazima uende kule kunako sayari ulimudu vipi. Ni lazima ulikuwa na kaharufu fulani! Jaribu kukumbuka vizuri.
Ulikuwa ukioga na wenzako huvui ile ya mwisho. Yaani wewe ulikuwa unajifuta maji then vaa uniform darasani kwisha habari!
Zile zawadi za kila mwezi plus chupi chafu embu jenga taswira ya kaharufu ulikokuwa unakatoa! Kweli wewe jasiri!
daktari alienihudumia ni wa kiume wewe acha tukatika kabila langu msichana hakuruhusiwa kunyoa nywele za huko mpaka atakapoolewa. Asubuhi ya kwanza ya siku ya ndoa (baada ya kazi ya usiku) alipelekwa uwani na mama mkwe kwa ajili ya kunyolewa. Kunyoa nywele kabla ya doa ilikuwa haikubaliki kimila.
Kwa wanaume, hakuruhusiwa kunyoa ndevu mpaka ametoa beberu kwa mzee. Shule zilipoanza zilivuruga utaratibu huu maana walimu walikuwa wanachapa sana kijana asiponyoa ndevu
smile, vipi ulipoenda hospitali ulibahatika kuhudumiwa na dakitali wa kike?
mbona hzo nywele zinasaidia sana kipindi ca hedhi? Kumbe wewe mwanaumbe huwezi elewa besides siwezi kusema hayo mambo hapa
mmmmh huko nilikuwa st kayumba bado hata kipaimara bado bwana