ushuhuda wa kweli-niliishi miaka 7 bila...

Naona aibu kuchangia......................Ngoja nisome maoni tu, nipate burdani
 
daktari alienihudumia ni wa kiume wewe acha tu

Hapo kweli ulikutana na changamoto. Huenda dkt kwa kupenda aonekane amekutibu alikurefer kwa wauguzi zikaondolewe hapohapo hosptalini bdala ya kukupa maelekezo ukajihudumia mwenyewe

Mimi nimefurahi at least ulifika A-level na hata kuimaliza ukiwa salama. Kwa kuwa aibu ya nywere ilichangia katika usalama huo hali ilikuwaje baada ya wewe kupata uelewa?
 
wewe bwana unataka nijianike huku ato z bwana?
 
wasichana wengi wanakuwa hivyo,
huwa hawana mtu wa kuongea nao,
ndiyo maana hata mimba za utotoni zinakuwa nyingi.

Pole Smile mwaya, kumbe ulilelewa na bibi eti eeh.
 
wasichana wengi wanakuwa hivyo,
huwa hawana mtu wa kuongea nao,
ndiyo maana hata mimba za utotoni zinakuwa nyingi.

Pole Smile mwaya, kumbe ulilelewa na bibi eti eeh.
yule binti yetu umempa lecture
 

Wewe ni muongo coz hii elimu inatolewa std 6 & 7. So sad unavyoleta mada za uongo hapa
 
Wewe ni muongo coz hii elimu inatolewa std 6 & 7. So sad unavyoleta mada za uongo hapa
una hakika? by the way huwa sisemi uongo mkuu .kama nimekukwanza sio lazima uchangie
kwanza nidanganye ili nini
sory :shut-mouth:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…