ushuhuda wa kweli-niliishi miaka 7 bila...

kweli wewe mjanja siku nyingi mimi kiukweli niko shy saaana hapa ni keyboard tu zinanisaidia.nilijua nina ulemavu ujue? Nikaenda hadi hosptal bwana ya huko sasa ahahaaaa

Malizia basi Smile, huko Hospitali nini kilitokea?????
 
Smile, mimi sijakucheka sana, ila pole sana............. wenzio bording skul tulikuwa na wadada ndo walikuwa wanatufundisha, maana wengine tulipatia huko.
Siku hizi kazi ni rahisi sana.
kabinti kangu kameanza form one mwaka huu. si nikajidai mama wa kisasa? nikamweka kikao tuanze kujadili mambo ya maana. nikajiambia the best way ni kuongea naye kwa kumwuliza maswali, aniambie nini anachojua, then nimalizie............ yaani huwezi amini, alinifundisha na mengine ambayo mimi siyajui, kwa ufasaha kabisa. nikamwuliza kama kavunja ungo akaniambia bado, sasa umejuaje? "shuleni mama, tunafundishwa kila kitu". nikamsifia na kumwambia fanya hivyo hivyo ulivyofundisha............
lakini niliogopa sana, nikam-call ex-mwalimu wake (maana alikuwa anasoma bording, primary), akaniambia hawa watoto wa siku hizi tunawafundisha maana wanaharibikiwa mapema.
Cha maana hapa tu ni kuwaombea sana hawa watoto wetu, maana wanajifunza mambo makubwa sana kwa umri wao
 
duu?pole sana dada smile,ila malizia it sounds very interesting my dai.4sure wazaz weng wanajisahau kuwapa mwongozo sio tu bint zao hata watoto wa kiume matokeo yake weng wanahadhirika na kuaibika ukubwani,
 
pole sana
mwenzio darasa la nne nina bf
 
acha tu mwaya kulea binti ni kazi saaana next time nitawapa story nyingine hope kupitia mimi mtajua jinsi ya kuwalea wadogo zetu
busara inahitajika lakini
 
duu?pole sana dada smile,ila malizia it sounds very interesting my dai.4sure wazaz weng wanajisahau kuwapa mwongozo sio tu bint zao hata watoto wa kiume matokeo yake weng wanahadhirika na kuaibika ukubwani,
kweli bwana inabidi tuwaelekeze ingawaje ni ngumu
 
I wish ningekupata wakati bado upo hivo hivo ingekuwa baraka sana.
 
Kwanza nilifikiri joks ila nilipoendelea kusoma nikagundua mantiki ya thread,kwa sisi wanaume itabidi tudil na watoto wa kiume kwa watoto wa kike watakutana na mama zao!
 

Malizia tu bana, tuambie dokta alikuta dread ndefu kiasi gani..
 
Du aisee yako kali!
Ila mimi nilivyoona 1st drop nilipiga kelele, mom akaja. Nikuambia nilikuwa fom tu, huwezi amini!

Reprodaksheni darasa la Sita, nilitoka nje (nikaenda kucheza na watoto wa darasa la tatu) sababu mwalimu aliandika tusi, ubaoni! (nilianza shule mdogo)!

Pole sana lkn!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…