ushuhuda wa kweli-niliishi miaka 7 bila...

kweli wewe mjanja siku nyingi mimi kiukweli niko shy saaana hapa ni keyboard tu zinanisaidia.nilijua nina ulemavu ujue? Nikaenda hadi hosptal bwana ya huko sasa ahahaaaa

Malizia basi Smile, huko Hospitali nini kilitokea?????
 
nilipovunja ungo sikupata mtu wa kunielekeza chochote kuhusu mabadiliko ktk mwili wangu
nilikuwa la sita.

mojawapo ya jambo lililokuwa ninanishangaza ni pubic hair.sasa zikakua na kukua sikujua kama zinanyolewa nikawa nipo nazo miaka inakata. nilipoenda a level boarding nikiwa naoga na wenzangu mimi nilikuwa sivui underwear maana nilikuwa naona siko normal nilikuwa nashangaa mbona wao hawana hzo nywele huko?

hata wanaume walikuwa wakinitongoza nilikuwa nakataa cause nilijua wataniona huku nio aibu nikapanga kwenda kwa daktari bwana ..................................wewe

nashindwa kumalizia mtanicheka sana huku
my point ni vema mabinti waelezwe kuhusu mabadiliko katika miili yao live bwana
Smile, mimi sijakucheka sana, ila pole sana............. wenzio bording skul tulikuwa na wadada ndo walikuwa wanatufundisha, maana wengine tulipatia huko.
Siku hizi kazi ni rahisi sana.
kabinti kangu kameanza form one mwaka huu. si nikajidai mama wa kisasa? nikamweka kikao tuanze kujadili mambo ya maana. nikajiambia the best way ni kuongea naye kwa kumwuliza maswali, aniambie nini anachojua, then nimalizie............ yaani huwezi amini, alinifundisha na mengine ambayo mimi siyajui, kwa ufasaha kabisa. nikamwuliza kama kavunja ungo akaniambia bado, sasa umejuaje? "shuleni mama, tunafundishwa kila kitu". nikamsifia na kumwambia fanya hivyo hivyo ulivyofundisha............
lakini niliogopa sana, nikam-call ex-mwalimu wake (maana alikuwa anasoma bording, primary), akaniambia hawa watoto wa siku hizi tunawafundisha maana wanaharibikiwa mapema.
Cha maana hapa tu ni kuwaombea sana hawa watoto wetu, maana wanajifunza mambo makubwa sana kwa umri wao
 
duu?pole sana dada smile,ila malizia it sounds very interesting my dai.4sure wazaz weng wanajisahau kuwapa mwongozo sio tu bint zao hata watoto wa kiume matokeo yake weng wanahadhirika na kuaibika ukubwani,
 
nilipovunja ungo sikupata mtu wa kunielekeza chochote kuhusu mabadiliko ktk mwili wangu
nilikuwa la sita.

mojawapo ya jambo lililokuwa ninanishangaza ni pubic hair.sasa zikakua na kukua sikujua kama zinanyolewa nikawa nipo nazo miaka inakata. nilipoenda a level boarding nikiwa naoga na wenzangu mimi nilikuwa sivui underwear maana nilikuwa naona siko normal nilikuwa nashangaa mbona wao hawana hzo nywele huko?

hata wanaume walikuwa wakinitongoza nilikuwa nakataa cause nilijua wataniona huku nio aibu nikapanga kwenda kwa daktari bwana ..................................wewe

nashindwa kumalizia mtanicheka sana huku
my point ni vema mabinti waelezwe kuhusu mabadiliko katika miili yao live bwana
pole sana
mwenzio darasa la nne nina bf
 
smile, mimi sijakucheka sana, ila pole sana............. Wenzio bording skul tulikuwa na wadada ndo walikuwa wanatufundisha, maana wengine tulipatia huko.
Siku hizi kazi ni rahisi sana.
Kabinti kangu kameanza form one mwaka huu. Si nikajidai mama wa kisasa? Nikamweka kikao tuanze kujadili mambo ya maana. Nikajiambia the best way ni kuongea naye kwa kumwuliza maswali, aniambie nini anachojua, then nimalizie............ Yaani huwezi amini, alinifundisha na mengine ambayo mimi siyajui, kwa ufasaha kabisa. Nikamwuliza kama kavunja ungo akaniambia bado, sasa umejuaje? "shuleni mama, tunafundishwa kila kitu". Nikamsifia na kumwambia fanya hivyo hivyo ulivyofundisha............
Lakini niliogopa sana, nikam-call ex-mwalimu wake (maana alikuwa anasoma bording, primary), akaniambia hawa watoto wa siku hizi tunawafundisha maana wanaharibikiwa mapema.
Cha maana hapa tu ni kuwaombea sana hawa watoto wetu, maana wanajifunza mambo makubwa sana kwa umri wao
acha tu mwaya kulea binti ni kazi saaana next time nitawapa story nyingine hope kupitia mimi mtajua jinsi ya kuwalea wadogo zetu
busara inahitajika lakini
 
duu?pole sana dada smile,ila malizia it sounds very interesting my dai.4sure wazaz weng wanajisahau kuwapa mwongozo sio tu bint zao hata watoto wa kiume matokeo yake weng wanahadhirika na kuaibika ukubwani,
kweli bwana inabidi tuwaelekeze ingawaje ni ngumu
 
I wish ningekupata wakati bado upo hivo hivo ingekuwa baraka sana.
 
Kwanza nilifikiri joks ila nilipoendelea kusoma nikagundua mantiki ya thread,kwa sisi wanaume itabidi tudil na watoto wa kiume kwa watoto wa kike watakutana na mama zao!
 
nilipovunja ungo sikupata mtu wa kunielekeza chochote kuhusu mabadiliko ktk mwili wangu
nilikuwa la sita.

mojawapo ya jambo lililokuwa ninanishangaza ni pubic hair.sasa zikakua na kukua sikujua kama zinanyolewa nikawa nipo nazo miaka inakata. nilipoenda a level boarding nikiwa naoga na wenzangu mimi nilikuwa sivui underwear maana nilikuwa naona siko normal nilikuwa nashangaa mbona wao hawana hzo nywele huko?

hata wanaume walikuwa wakinitongoza nilikuwa nakataa cause nilijua wataniona huku nio aibu nikapanga kwenda kwa daktari bwana ..................................wewe

nashindwa kumalizia mtanicheka sana huku
my point ni vema mabinti waelezwe kuhusu mabadiliko katika miili yao live bwana

Malizia tu bana, tuambie dokta alikuta dread ndefu kiasi gani..
 
Du aisee yako kali!
Ila mimi nilivyoona 1st drop nilipiga kelele, mom akaja. Nikuambia nilikuwa fom tu, huwezi amini!

Reprodaksheni darasa la Sita, nilitoka nje (nikaenda kucheza na watoto wa darasa la tatu) sababu mwalimu aliandika tusi, ubaoni! (nilianza shule mdogo)!

Pole sana lkn!
 
Back
Top Bottom