ushuhuda wa kweli-niliishi miaka 7 bila...

Smile ungenita nikaja kukushave, aisay ungeona raha sana :biggrin:
 
kunyoa mara kwa mara kunaoteshaga sugu na kusababisha maeneo ya jirani na nyumbani kuwa hatari kwa usalama wa abiria
 
duh! ulikuwa balaa.....i'm just thinking loud,hivi kipindi hicho ungempata mchizi alafu akazama mgodini walahi angerudi baadhi ya rasta zako zimeng'ang'ania kwenye meno na kulazimika kutafuta toothsticks za kuchokonolea meno.
 

Wewe sijui wa nchi gani, kwetu tunamcheza binti anapovunja ungo, hapo anakula kila somo, akitoka hapo ni moto wa kuotea mbali.
 
Dokta hakuingiza vidole kuangalia kweli?? manake nao hawa ..mh
 
I love dem pubic hair... It's a taste of ones hygiene, if you have them and you are clean with no odor then it's deffo a place to be
 
daym, i like you for this post, we need to help vijana

BTW, kunyoa si ishara ya usafi hata kidogo, yawezekana ni kuficha weakness ya kutunza chipopo
 
Duh! Kila nikijenga taswira ya hicho michaka cha miaka saba, ninapata picha nzuri sana.
Siku hazirudi nyuma, lakini kama ungetupa hadithi kabla ya kuzinyoa kwa mara ya kwanza ningekushauri uyatunze hayo ma*uzi, ni kumbukumbu nzuri na pengine "treasure."
Tumalizie kisa Mkuu, umetuwacha na curiosity.
Weka Part Two, PLZ!
 
Then kilitokea nini mpaka ukajua zinanyolewa na siku ulipo-nyoa ulijihisi vipi?
 
Watu wengi wameshabikia na kusmile! lakini wengi wamesahau kwamba jamii yetu sio wawazi sana kwenye mambo hayo na jamii yetu inategemea ujijulie mwenyewe mbele ya safari! Mimba nyingi za utotoni hutokea kutokana na kutaka kujaribu bila kuwa na taarifa sahihi! Mimi nilipopata "WET DREAM" kwa mara ya kwanza sikujua nikadhani nimelala na Jini! kila mara nikawa natamani jini aje anitembelee nipate tena ule utamu! ilichukua muda sana kuja kujua kumbe ni karanga tu zilikuwa zimejaa mwilini!!!!!!!!!!!!
 
Mengi tumeyasikia, lakini pale kwa daktari...kalamu imegoma? na mimi ndio hivyo tena, hamu ya kutaka kujua kilichoendelea.
 
Hahahaha, nimecheka kweli. Mi nina bahati, kwanza mama alikua anatwambia sana kuhusu haya mabadiliko, na pia mi ni mtoto wa tatu wa kike na dada zangu walinambia na kunionesha mambo yote walipokua wanayaweka sawa. Ila ni kweli, mtu bila kuambiwa utajuaje? lol
 
asante kaunga kweli niliteseka sana kiakili ni8lidhani ni ulemavu ati.kuhusu drop daaah hapo ni balaaa siwezi kusema hapa labda kama kungekuwepo na ukumbi wa wanawake tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…