Don Mangi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,199
- 852
hair hazichafui madhari kule mbona
ilikuaje sasa ukajua kunyoa?umetuacha hewan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hair hazichafui madhari kule mbona
nilipovunja ungo sikupata mtu wa kunielekeza chochote kuhusu mabadiliko ktk mwili wangu
nilikuwa la sita.
mojawapo ya jambo lililokuwa ninanishangaza ni pubic hair.sasa zikakua na kukua sikujua kama zinanyolewa nikawa nipo nazo miaka inakata. nilipoenda a level boarding nikiwa naoga na wenzangu mimi nilikuwa sivui underwear maana nilikuwa naona siko normal nilikuwa nashangaa mbona wao hawana hzo nywele huko?
hata wanaume walikuwa wakinitongoza nilikuwa nakataa cause nilijua wataniona huku nio aibu nikapanga kwenda kwa daktari bwana ..................................wewe
nashindwa kumalizia mtanicheka sana huku
my point ni vema mabinti waelezwe kuhusu mabadiliko katika miili yao live bwana
daym, i like you for this post, we need to help vijananilipovunja ungo sikupata mtu wa kunielekeza chochote kuhusu mabadiliko ktk mwili wangu
nilikuwa la sita.
mojawapo ya jambo lililokuwa ninanishangaza ni pubic hair.sasa zikakua na kukua sikujua kama zinanyolewa nikawa nipo nazo miaka inakata. nilipoenda a level boarding nikiwa naoga na wenzangu mimi nilikuwa sivui underwear maana nilikuwa naona siko normal nilikuwa nashangaa mbona wao hawana hzo nywele huko?
hata wanaume walikuwa wakinitongoza nilikuwa nakataa cause nilijua wataniona huku nio aibu nikapanga kwenda kwa daktari bwana ..................................wewe
nashindwa kumalizia mtanicheka sana huku
my point ni vema mabinti waelezwe kuhusu mabadiliko katika miili yao live bwana
Ulijipangaje na mashambulizi ya mwisho wa mwezi? Maana bila kutoana ushamba how do we do it?mwisho wa siku ni nini?
asante kaunga kweli niliteseka sana kiakili ni8lidhani ni ulemavu ati.kuhusu drop daaah hapo ni balaaa siwezi kusema hapa labda kama kungekuwepo na ukumbi wa wanawake tuDu aisee yako kali!
Ila mimi nilivyoona 1st drop nilipiga kelele, mom akaja. Nikuambia nilikuwa fom tu, huwezi amini!
Reprodaksheni darasa la Sita, nilitoka nje (nikaenda kucheza na watoto wa darasa la tatu) sababu mwalimu aliandika tusi, ubaoni! (nilianza shule mdogo)!
Pole sana lkn!