Ushuhuda wa Madaktari kuhusu Majeruhi wa Loliondo

Ushuhuda wa Madaktari kuhusu Majeruhi wa Loliondo

Monica Mgeni

Member
Joined
Oct 7, 2021
Posts
82
Reaction score
134
WhatsApp Image 2022-06-12 at 8.17.34 AM.jpeg
 
Monica ni jina la Kikristo, na kutosema uongo ni miongoni mwa amri 10 za Mungu ambayo ukiivunja ni dhambi na adhabu yake unaijua. Unapojitoa ufahamu utadhani hujui kesho yako kiroho kama wanasiasa wapumbavu ni Kwa hasara yako mwenyewe. Ipo siku Mungu ataitaka hesabu ya matendo yako.
Unapojitoa ufahamu utadhani hujui kesho yako kiroho kama wanasiasa wapumbavu ni Kwa hasara yako mwenyewe. Ipo siku Mungu ataitaka hesabu ya matendo yako.[emoji1545][emoji1534]
 
Hapo Pia inawezekana hawa wanaowasema wenzao kwamba ni waongo ni KINYUME chake.
Ukweli wao ni uongo kwako na uongo wako ni ukweli ili kukuza chuki nchini hii nadhani ndiyo itakuwa dhambi KUBWA zaidi.
 
Hapo Pia inawezekana hawa wanaowasema wenzao kwamba ni waongo ni KINYUME chake.
Ukweli wao ni uongo kwako na uongo wako ni ukweli ili kukuza chuki nchini hii nadhani ndiyo itakuwa dhambi KUBWA zaidi.
Acha kuungana na waongo waongo Kama PM
 

Jambo Hili Serikali Inatumia 4WD Kwenye Tambarare Mpaka Yasiyo Wahusu Wanaitwa Waongee Japo Lolote Kuhakikisha Hali Ni Shwari

Kuna Watu Wana Ndugu, Jamaa Na Marafiki Huko Loliondo Waje Basi Wamwage Mboga

 
Walikuwa ni wa nchi jirani walikuja kuleta fujo wakatulizwa wakarudi kwao kugugumia maumivu ndio maana waziri wa kikemmoja wa nchi jirani ameonekana kajaa jazba akilaani kitendo cha nchi huru kuweka mipaka ndani ya ardhi yake yenyewe, kumbe walizoea kufanya shamba la bibi sasa wanaona biashara inalwenda kuisha
 
Back
Top Bottom