Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Napitia kipindi kigumu sana kwenye mahusiano aisee mimi ni kijana 25+nimekuwa nikitamani sana kuwa kwenye mahusiano ofcourse nilikuwa nipo na mahusiano na mdada mmoja but atukudumu sana sababu ni gold diger hivyo nikaamua kumuacha kwa usalama wa pesa zangu na malengo yangu.
Baada ya kukaa muda mrefu nikashindwa kuvumilia coz nilikuwa na kampeni ya kuepukana na nyeto bac nikamuaproach mdada mwingine mambo yakawa vile vile nikatulia.
Bac mwezi huu mwanzoni nilikutana na kitoto flani hivi aisee ni kizuri sana ila mpaka naandika hii thread huyu mtoto ashakula kama 270k.
Aisee kwanza dem hana kazi but anapenda raha sana kwanza ataki simu yake ikae bila bandle hata kwa dakika 10 halafu anataka umuungie kifurushi cha internet sio chini ya 20k. Na pesa ya kusuka kila wiki kiufupi matumizi yake ni makubwa sana na ndio kwanza tuna wiki mbili aisee.
Ngoja niwape ushauri ndugu zangu kuwa kwenye mahusiano kwa sasa ni gharama kubwa mno.
Ukiangalia % kubwa ya wanawake hakuna kitu kingine anakuongezea kwenye maisha yako zaidi ya kukupa papuchi sasa kwa mtindo huu ni bora ukae single tu but ukijiskia upo na ham nenda nunua mwanamke gonga tembea kila mtu aendelee na mambo yake.
From now on sitaki mahusiano na mtu ni bora nitafute mwanamke mmoja tuwe tunafanya biashara kwa usalama wa pesa zangu na malengo yangu vinginevyo nimekwisha.
Hizi couple mzione tu barabarani ndugu zangu aisee wanaume tunapigwa sana mimi nimekoma.