Ushuhuda wangu katika mahusiano ya kileo

Ushuhuda wangu katika mahusiano ya kileo

Safi sana Nasisitiza tena Kama wewe ni Demu ukimpata Boya mkamue haswa mpaka akili imkae sawa.
kila siku humu watu wanasema kuwa hawa Viumbe sio wa kuwapa kipaumbele kiasi icho na mapenzi na ya pande zote sio upande mmoja tu kuwajibika.
Kweli kabisa bro
 
Jitafutie lishangazi hayo kidogo hayanaga pigo hizo.kikubwa kama linakibarua chake lets say mama ntilie unapopata kahera unalipea hata hamsini liboreshe mtaji.hutojuta mkuu asbh utakula utakacho mchana pia na jioni na papuchi utasusiwa na ukikwama hela linakupea.
Jiongeze achana na hivyo vipochi manyoya vinuka kojo
Sawa chief nimekuelewa sana
 
Kijana,laki mbili na sabini elfu unalia lia kiasi hiki
Tafuta hela kwanza,alafu muda wa kuhonga bado hujaufikia, ushauri wako ni mzuri kwako tu.
Zinaa ni mbaya,rudi kijijini kwenu kama wa mjini huwawezi utafute wako mmoja uoe,
Babako akiwa na umri wako alishakuzaa na hakufanya zinaa kama wewe
Aisee huu mchambo kiboko😁😁😁😁😁
 
Kwa tabia zake huyu ajiandaw kuuza nyuma na mbele....maana mbele tu halatoshi kukidhi Anasa zake.
Aisee kwanza dem hana kazi but anapenda raha sana kwanza ataki simu yake ikae bila bandle hata kwa dakika 10 halafu anataka umuungie kifurushi cha internet sio chini ya 20k. Na pesa ya kusuka kila wiki kiufupi matumizi yake ni makubwa sana na ndio kwanza tuna wiki mbili aisee.
 
Achana na huyo mtoto mwenzio maana amekuzidi akili
Ameshakula hela na ataendelea kula alafu wewe hujala?!, pathetic
Nakufundisha mbinu, next time akikuomba hela mwambie aje aifuate usitume, akija utajua cha kufanya siwezi kukufundisha kila kitu
Huyo mtoto ameshakuona fala, na anakumudu
wewe ni dhaifu sana.
Kumla nilishamla tayari kama mara mbili hivi
 
Kijana ndiokwanza ana umri wa miaka 25, kakata tamaa na mapenzi.
Halloo wee charii tulia hivyo hivyo hiyo game ndio inaanza, unakimbilia wapi? Kwanza unahudumia vipi mwanamke ambaye hata mwezi hamjatimiza ktk mahusiano?

Kijana inaonekana ktk tafuta tafuta zako huwa unachagua Malaya na si wanawake wa kueleweka, ieleweke hivyo, Malaya hatunzwi, Malaya matumizi yake yako wazi kabisa.

Mtu mmedate week 2 tayar kakufanya wewe mzazi wake na ambapo hata huyo mzazi wake hatimizi mahitaji yake kama unavyomtimizia wewe mjinga wake.

Kijana usipochange aina yako ya machaguo kwa wanawake hata ufanye Nini utabaki kuangukia kule kule kwa "gold diggers''.

Natia nukta.
 
Haya uliyojiingiza si mahusiano ila ni ufala, mapenzi si one way, ukiona unaliwa ama kila siku ni wewe tu ndiye unaye gharamia penzi achana nalo mara moja. Mwanamke hata awe mzuri kiasi gani kama si mkeo hana thamani ya hizo hela unazowapa. Jiulize, kabla yako walikuwa wanaishije, na utaondoka wewe watakuwa wanaishi tu. Mwanamke asiyekupa zawadi si wa kukaa naye, mahusiano ni kujaliana. Nipe nikupe si mimi nikupe wewe tu kila siku wakati demu hana mchango wowote zaidi ya kupiga mizinga.
Verry sure
 
Kumla nilishamla tayari kama mara mbili hivi
Je Bidhaa inaendana na Thamani ya pesa yako? Umebahatika kuwa na kipato ukiwa kijana mdogo. Achana na Wanawake utafika mbali.
Hakuna Malaya aliyefanikiwa hata Diamondi alishaacha ujinga walimshtua.
 
Back
Top Bottom