Ushuhuda wangu katika mahusiano ya kileo

Hili ni kweli kabisa, unaumia tuu. Demu hana kazi anamiliki iphone unajiuliza sasa huyu anategemea wanaume tuu kuweka bundle hiyo simu
Ogopa sana Demu hana kazi ila ana miliki Simu ya Gharama kuliko wewe unayemhonga.
 
Inspiration Speaker😅😅😅
 
Shukran kaka mkubwa
 
Inspiration Speaker😅😅😅
Vijana wamepoteza ile masculinity,
Mmoja nilimpa mbinu za kutongoza na hawa viumbe, zilimshinda akawa anapigwa chini.
Akaniambia bro nimejaribu mbinu zako ila nachezea rejection za kutosha, akawa anashangaa mimi naweza yeye anashindwa, maana nilikuwa namfundisha kwa vitendo na naenda nae field
Nikagundu hana ile masculinity
 
Sikumgusa nilimgonga sana nayeye kwa kunitengenezea mazingira ya kuniibia zaidi alinipa show ya kwenda dem anakata kiuno c mchezo kaka
Ndio maana ulimgusa, badala ya wewe ku control mchezo, badala yake wewe ndio ulipigwa saka bwege
 
Unaweza ukawa fundi,unagonga angle zote na kusugua kila angle. Baada ukaja kuchwa kwa mzee mwenye kitambi chake ila anajua kukata mshiko kimoja chali,tumeyaona haya.

Huwajui hawa viumbe kwa ground vitu vipo tofauti, unaweza ukawa unajali kwa maana ya kutoa hela ukaja kugongewa na asiye na hela,unaweza kuwa mzuri kitandani ila kibabu che hela zake kimoja chali anakuja kukupindua.

Sometimes ukigonga na ukiliridhika ww inatosha, focus na vitu vya maana ila sio kwa wanawake wa siku hizi na ukiona anazingua unapiga chini unafanya mambo yako.
 
Kuachwa, kuacha au kuachana ni constant, hilo halitakiwi kukusumbua
Kinachosumbua vijana ni insecurities hasa akiwa na kadada kenye mvuto kiasi

Kaa ukijua muda wowote na saa yoyote linatokea lolote,
Usiwe too comfortable
 
Kuachwa, kuacha au kuachana ni constant, hilo halitakiwi kukusumbua
Kinachosumbua vijana ni insecurities hasa akiwa na kadada kenye mvuto kiasi

Kaa ukijua muda wowote na saa yoyote linatokea lolote,
Usiwe too comfortable
Sasa ukijua kuna kuacha na kuachwa,hizo sijui usugue huku usugue kama kama Dj havina maana ni mwendo kwa kugonga ukirizika ww inatosha. Kwa kifupi kwa kizazi hiki mapenzi si ya kuyachukulia serious sana.
 
Kumbe una miaka 69 ndo maana 270k kwako ni hela ya pipi
 
Em tufafanulie mkuu dogo alikuwa anafeli wapi hasa
 
Ukiona wamesuka vzr kumbe wapo mawindoni aisee
Oyaa,

Sim kali, af anadandia daladala.
Ukinunua chips kidali tayari kesha_loa

Mdanganye na vi trip vya znz, piga mapicha_picha kama vijana wa makumbusho.

Fuga tundevu shindia sandals kiufupi wanapenda mafala_fala tu na maisha ya kuigiza .

Ila ukiwa smart umetulia wanakuona kama faza flan iv yupo out_dated etc

Bora uende njombe huko unakuta pendo ana mbuzi watatu analima viazi ukitulia nae mtafika mbali.

Sio hizi kandambili Zina mind sana out maeneo ambayo hata baba zao hawawez Peleka mama zao


Shenzi! shenzi! shenzi!
 
Kwa mtindo huu watachapika sana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…