Ushuhuda wangu kwa mtumishi wa Mungu Askofu Gwajima

Duh sasa ulisoma degree ya nini hata kuandika shida??
 
Chai
 
Kwa huu uandishi wako wa kipuuzi hukustahili kupata hiyo shahada.
Ni kweli kabisa, uandishi ni wa hovyo na hakustahili kupata hiyo shahada kama ambavyo wabunge wasiopungua 200 hawakustahili kuingia bungeni kwa uchangiaji wao na kama ambavyo MamaSamia2025 hakustahili kuwa pale.
 
Kamacwasomi wote wangekuwa kama wewe pasingekuwa na haja ya kupoteza fedha kujenga shule
 
Mwandiko wa aliyemaliza chuo, kuna makosa mengi ya uandishi hii ni habari ya kutunga. Ni Injili sio Injiri,itakuwa wewe Sio mhitimu wa chuo
 
Sahihi kabisa
 
Ujumbe umefika japo mwandiko hausadifu kama kweli ni muhitimu wa chuo
Mbona ameandika powa sana mkuu pia ungeuliza alisoma course gani maana Kuna baadhi ya course wana hand writing mbaya hata kwenye keyboard
 
Huu si uandishi wa mtu aliyefika chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…