Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Endelea kuwaony, jibu comments ambazo ni positive
Nipo nimejaa tele, sema sio kila kitu cha kujibu vitu vingine unaviacha viende. Kwa ufupi tu baadhi yao hapa hawajui ID yangu how active it's. Na wengi humu maisha yao nayafahamu kwa hiyo ni kukaa kimya, maana sipo hapa kujibishana na mtu
 
Ukamvulia Prof pichu mkapiga peku bila kujua status yake ya sexual transmitted diseases.
Ndo maana mimi nalilia kila siku tuwafundishe vijana wetu watumie condom wanapoanza form one. Tena unawaambia kila mtu ni HIV positive except wewe. Hivyo condom is a must.

Mimi haujanitomba bila condom aisee. Hata mimi nilitongonzwa na prof wala sikumkubalia.
Baada ya mwaka akaanza kuugua kumbe alikuwa na ngoma.
Kila sehemu kumeoza. Condom is a must hata kama mmepima,maana mtu kama prof anapiga wengi. Ukiona upo nae jua na wengine atatongonza.
Pole,ila na wewe ni moto,yaani umeshakutana na wakaka tena humu JF.Why wakaka ? Ina maana kila mnaekutana nae haufall in Love ?
Unaonekana wewe Kicheche,ndo maana ukatembea na Prof wako.
YOU GOT,WHAT YOU DESERVED.
Endelea kutumia ARV.
 
Back
Top Bottom