Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Me naona umefanya vizuri kuja na ID mpya.. Nakumbuka kuna matukio kama haya yalishawahi kutokea na palitokea mtafaruko ukapelekea watu kufichuliana identity zao.

Kama umeshakutana na baadhi ya watu humu jf ni vizuri kutosema hiyo id yako ya zamani ili kulinda privacy yako
 
Ushaur i mzuri kwa hawa wadogo zetu
Pia na kwa sie magari ya mkaa kiu ukweli sisi wabongo kujali afya zetu bado sana
 
Hapana na maana yangu kufanya hivi, bado watu hawajiulizi kuna baadhi ya member humu walikuwa maarufu sana kwenye baadhi ya forum na hili likiwemo lakni wameishia kupotea ama kubadili Id ni kwamba wengi wanajua walichowafanyia baadhi ya member sio vizuri kuepuka tafurani wamebadili Id.
Best nakushangaa unawanyooshea wenzio kidole hali ya kuwa makosa waliofanya wenzio nawe unapita mulemule ningekuelewa kama ungefungua uzi na I'd yako iliyozoeleka(sorry)
 
Yule wa SUA?? Dah inasemekana jamaa aliwasambazia wadada kibao hapa jukwaani. Sijui uko wapi ule Uzi
Me naona umefanya vizuri kuja na ID mpya.. Nakumbuka kuna matukio kama haya yalishawahi kutokea na palitokea mtafaruko ukapelekea watu kufichuliana identity zao.

Kama umeshakutana na baadhi ya watu humu jf ni vizuri kutosema hiyo id yako ya zamani ili kulinda privacy yako
 
Best nakushangaa unawanyooshea wenzio kidole hali ya kuwa makosa waliofanya wenzio nawe unapita mulemule ningekuelewa kama ungefungua uzi na I'd yako iliyozoeleka(sorry)
Nop, thank you
 
Yule wa SUA?? Dah inasemekana jamaa aliwasambazia wadada kibao hapa jukwaani. Sijui uko wapi ule Uzi
Ndio maana pia kuna wadada wengine wana hofu kwasababu kuna members wametembea nao na hawana imani nao[emoji23][emoji23]
 
dimatteo,
Umejibu vizuri sana,ila iko kitaalamu zaidi na umefupisha sana maelezo yako as if unamjibu mtu ambaye ni professional kwenye hiyo fani ya utabibu...
 
Ni ushauri tu, hiyo avatar ungebadili, weka isiyovutia, pia jina mbele ungeongeza HIV+, ili upunguze foleni ya kutongozwa, kwani sio wote, na wengine watajiunga na hawatasoma huu uzi.
 
Back
Top Bottom