Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Me naona umefanya vizuri kuja na ID mpya.. Nakumbuka kuna matukio kama haya yalishawahi kutokea na palitokea mtafaruko ukapelekea watu kufichuliana identity zao.

Kama umeshakutana na baadhi ya watu humu jf ni vizuri kutosema hiyo id yako ya zamani ili kulinda privacy yako
 
Ushaur i mzuri kwa hawa wadogo zetu
Pia na kwa sie magari ya mkaa kiu ukweli sisi wabongo kujali afya zetu bado sana
 
Best nakushangaa unawanyooshea wenzio kidole hali ya kuwa makosa waliofanya wenzio nawe unapita mulemule ningekuelewa kama ungefungua uzi na I'd yako iliyozoeleka(sorry)
 
Yule wa SUA?? Dah inasemekana jamaa aliwasambazia wadada kibao hapa jukwaani. Sijui uko wapi ule Uzi
 
Best nakushangaa unawanyooshea wenzio kidole hali ya kuwa makosa waliofanya wenzio nawe unapita mulemule ningekuelewa kama ungefungua uzi na I'd yako iliyozoeleka(sorry)
Nop, thank you
 
Yule wa SUA?? Dah inasemekana jamaa aliwasambazia wadada kibao hapa jukwaani. Sijui uko wapi ule Uzi
Ndio maana pia kuna wadada wengine wana hofu kwasababu kuna members wametembea nao na hawana imani nao[emoji23][emoji23]
 
dimatteo,
Umejibu vizuri sana,ila iko kitaalamu zaidi na umefupisha sana maelezo yako as if unamjibu mtu ambaye ni professional kwenye hiyo fani ya utabibu...
 
Ni ushauri tu, hiyo avatar ungebadili, weka isiyovutia, pia jina mbele ungeongeza HIV+, ili upunguze foleni ya kutongozwa, kwani sio wote, na wengine watajiunga na hawatasoma huu uzi.
 
Uzi umenifanya nisiende kukaa juu
Weekend hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…