Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)



Priscilla, maisha ni mapambano na changamoto ni nyingi. Nakupa pole pia nakupongeza kwa kutambua maisha lazima yaendelee na kwa kutoa ushauri kwa wadogo zako.
 
Poleeeh sana dea, Mungu akujalie afya njema uweze kuendelea kufurahia mema ya Dunia.
 
So touching story anyway.

But wewe kusema kwamba anakupenda sana ndo mana akakutafutia kazi wakati alikuambukiza kwa makusudi mmmh

Huyo ni kama panya tu anang'ata anapuliza ila kidonda kinabaki pale pale
 
Kama leo ndo unausoma huu uzi na ni mmoja wa wale waliokua wanavua mpira katikat ya mechi, moyo wako utakua unaenda mbio sana.
Ila hongera sana dada, somo lako limeeleweka sana.
Mungu atuepushe na viburi vyetu tupate kupona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…