Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Pole sana mdada, kitu kimoja nimegundua kwamba ume admit kwamba umetoka na vijana wengi huku na ulikuwa strict kwenye kuwakinga Mungu akubariki sana! But kwanini unatoka na wengi namna hiyo? Why cant you stick with one partiner?
 
Priscallia, I love you.
 
Dawa ya kwanza ni "kukubaliana na hali" hongera kwa ujasiri wako, nakutakia maisha mema.
 
Endelea kuwa mwalimu/ balozi muaminifu. Mungu akupe chaguo lako, huna haja ya kuwa na watu tofauti tofauti.
 
Duuh aseee
 
Ila naskia eti mwanamke akiupata akatumia ARV vizuri ndo anaongezeka uzuri ni kweli? Au nilidanganywa ili niwe naogopa mademu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…