Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Asante kwa ujumbe na ushuhuda mzuri, Mwenyezi Mungu akubariki sana.
 
Huu uzi umenikumbusha wakati nipo Chuo, Room mate wangu alikuwa akimiliki mademu watano pisi kali. Alikuwa akinishangaa sana mimi kwa kutokuwa na mzuka kama wake, alikuwa ananiita Paroko kwa tabia zangu zisizofanana nae.

Jamaa alifariki mwaka jana na ugonjwa huuhuu.
Maamuzi ya kupata au kutopata hili gonjwa yapo kwenye nafsi zetu wenyewe.
Kabisa mkuu, kila mtu ana nafasi ya kuandaa 'kesho' yake.
 
Gharama yake ni Tsh. ngapi?
Sindano jumla tatu, gharama ni elfu 30, kila ukichomwa umalipa elfu kumi. Ukichomwa ya kwanza, unakaa mwezi unachomwa ya pili, unakaa miezi mitano unachomwa ya tatu na ndo ya mwisho.
 
Unatumia dawa gani kwa sasa? Hali yako ikoje? Visit yako ya mwisho kinga yako ilikuaje?

Hongera sana kwa kua madhubuti kuishi katika hali hiyo na ahsante kwa ukumbusho.
 
Sindano jumla tatu, gharama ni elfu 30, kila ukichomwa umalipa elfu kumi. Ukichomwa ya kwanza, unakaa mwezi unachomwa ya pili, unakaa miezi mitano unachomwa ya tatu na ndo ya mwisho.
Sorry kwa usumbufu,je hiyo sindano ipo kila kituo cha afya nchini au ni baadhi ya vituo vya kutolea huduma ya afya?
 
Sorry kwa usumbufu,je hiyo sindano ipo kila kituo cha afya nchini au ni baadhi ya vituo vya kutolea huduma ya afya?
Ni baadhi, nenda hospitali za wilaya. Au kama upo karibu na hospitali ya mkoa, nenda huko huko, lakini jua kuwa sometimes chanjo zake zinaisha, watu wanapaswa kusubiri.

ili uchomwe chanjo, ni mpaka wakupime kwanza, wakikukuta negative ndo wanakuchoma.
 
Back
Top Bottom