Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Ni miaka 4 sasa tangu Uzi utoke, unaendeleaje kiafya, bado upo na mhadhiri, vipi umeingia kwenye ndoa, una watoto wangapi na je bado upo masomoni? Mengine nitakufuata PM
 
Dah aisee UKiMWI ni kitu kingine ambacho endelea kusikia kwa jirani tii, tuzidi kuwa makini kujikinga na kutoambukiza wengine kwa makusudi
 
Huu uzi umenikumbusha wakati nipo Chuo, Room mate wangu alikuwa akimiliki mademu watano pisi kali. Alikuwa akinishangaa sana mimi kwa kutokuwa na mzuka kama wake, alikuwa ananiita Paroko kwa tabia zangu zisizofanana nae.

Jamaa alifariki mwaka jana na ugonjwa huuhuu.
Maamuzi ya kupata au kutopata hili gonjwa yapo kwenye nafsi zetu wenyewe.
 

Hata wewe utafariki, yeye pia angeweza kupata ajali na kufariki pasipo ukimwi muda huohuo. Ishi
 
Mimi mwenyewe binafsi nilikuwa na demu chuo.
Ila nilimtongoza demu mmoja mtoto wa shehe kweli kwa miaka mitatu ila aligoma kunipa mbunye miaka yotee mitatu ya bachelor.

Ila ukafika mwaka wa graduation, akiwa anatoka chuo kwenye graduu (nako alininyima mbunye) alipata ajali ya Majinja akafa.

Hii nayo unasemaje KAFA NA BIKRA YAKE (Kwa mujibu wake alikuwa bikra na alipanga kulala na atakaye muoa tu)...???

#YNWA
 
Dah......
 

Duh hata humu ndani umetembea na vijana tena hata kama mmetumia kinga, ww nae ni mama huruma, kutanua miguu huchelewi, mwanamke lazima uwe na break, after all umejua uko +ve bado unatembea hovyo hovyo? Tabia ya hovyo ikiwezwa kubadilishwa na elimu shukuru Mungu, hizi shule mnaenda alafu mnarudi na ugonjwa, tabia za hovyo hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…