Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

😄😄😄
 
Mungu ni mwema sana mpenzi, hongera kwa kua jasiri na kulinda afya za wengine, zingatia afya yako ma...kula vizuri, Sali mara kwa mara, invest...live baby girl...just have fun and slay....life goes on ma....thanx for the reminder beautifull soul
 
Rashes ambazo zilizokutokea ni za aina gan? Na zilizitokeq maeneo gani . Yule elimu tufahamu
 
Poleni wahanga
 
Ndio mwanzo unapopokea majibu ya positive unahisi umebebeshwa mzigo mkubwa mno na inakuwa vigumu kukabiliana na hali husika.

Ila mwisho wa siku utakubaliana na hali husika na maisha yataendelea kama kawaida.
 
Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…