Ushuhuda: Wauzaji wa Trekta Afrika Kusini

Hongera sana kwa mapambano kama trekta ya case haikusumbui kuna mtu kanunua mwaka hana August 2021 leo limekata ring hata waranti haijaisha na wamegoma kurekebisha
 
Hivi ni Trekta aina gani zuri kwa ubora wa kazi ?
Nina mpango wa kununua moja nijalibishe biashara ya kulima mashamba ya watu kwa malipo hasa mkoa wa Morogoro eneo la Ifakara, ambako wakulima ni wengi.
 
Nyumbani originally yangu ni hapo ndago ni kama ume nivuruga hivi nilikuwa napanga kwenda tukuyu kiwira kumbe pesa ipo home bwn[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wale wadau wa trekta kuna wasap group tukutane tusaidiane ushauri na utatuzi wa haya mambo nicheki 0653 639214
 
Ni sahihi mimi nilitoka huko kabla ya uzi huu. Yakanishinda nikachukua Case used 3,000 hrs kwa 39.5m pamoja na jembe. Mkuu ile Swaraj inakamua balaa
Mm nlienda July 2021 pale suma jkt ilikuwa 48.6m 4w 75hp ila kwa sasa ni 52.8m wanasema ukichelewa kidogo itafika hata 56m ukienda msimu sio wa kilimo bei inakua cheee last month nmechukua case 53m ila ikifika October nazan takua hata 58m na yule wa jembe chapa samaki saizi ni 10.2m ila kanambia wakileta mzigo mwingine takua zaidi ya hapo
 
Wale wadau wa tractors manunuzi matengenezo ushauri kupeana connection na kusaidiana tukutane wasap group kwa link hii Wadau wa tractors bongo
 
Case ni kama pacha wa new Holland tofaut ni rangi tu yenyewe ni nyekundu ila spare zote na new holand znaingiliana na kwa bongo hiii supplier ni mmoja afu waswahili
🙏🏾🙏🏾 Sana mkuu.
 
Mkuu nashukuru sana. Barikiwa sana, huu uzi nilianzisha baada ya kuona tractor zinauzwa bei nzuri sana SA. Nami nipo njiani kufanya maamuzi magumu. Bahati mbaya tu mi nimekuwa mpenzi sana wa Massey Furgudon, hasahasa MF 290.
Mkuu, tayari ulishapata chuma?
 
Mkuu nakushauri tafuta fundi anayezijua zaidi MF akuambie changamoto zake na kama utamudu kuzikabili. wakati natafiti kila fundi na opereta waliniambia MF inazingua sana hydrolic nikaacha nazo.
Kumbe ndiyo mchezo wake? Kazini kwangu nilishawahi kutumia MF ilikuwa inasumbua sana hydraulic, kila muda ki-pini kimechomoka kinadondokea humo ndani, ilikuwa shida sana mpaka tukaachana nayo! Sikujua kwamba ndiyo tabia ya MF zote aisee!
 
SA Wana madini hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…