ushuri muhimu sana: unaweza soma nursing?

ushuri muhimu sana: unaweza soma nursing?

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,647
Reaction score
9,604
wakuu nina mdogo wanngu anataka kusoma nursing chuo cha private ana BIOS-D MATH-D CIV-D KISWA-D na mengine ni F.....Kama inawezekana chuo gani?
 
Vyuo vipo lakini huyo anaweza kuku paracentamol badala ya dawa mseto, maana hana sifa kwanini asiende hata kilimo?
 
Nursing isiyokuwa digrii ni mateso tu. Muambie aende form5, kama ccm bado itakuwa madarakani then wataadjust upya matokeo na ataenda chuo kikuu.
 
Back
Top Bottom