Ushuru kwenye magari, Serikali inapaswa kuangalia upya

Samatime Magari

Senior Member
Joined
Feb 10, 2017
Posts
152
Reaction score
537
Huu Ushuru Sirikali iuangalie Tena Purchasing Power Ya magari is going to be affected aisee.

Imagine Toyota RUSH Nje inauzwa $6500 Kama 16.9M Hivi Pesa ya Tunguu. Halafu Tiarahei naona ushuru wanataka 15.8M Bila kupepesa Jicho mpaka hapo ni 32.7M, Ukitia na bandari charges zile walizoleta 35M Hii Hapa Pesa iliyokua inanunua Harrier tako la Nyani..
1784279655703.png

1784279665383.png

Jana kuna mteja alikua anatafuta IST bumper Kubwa nilimpa quote akabaki anashangaa. Gari total cost imesoma 24M na point, Yani hata zile gari za kuponea nazo zinaanza kuwa zamoto.
.
Hii Sirikali sikivu ya MAMA ifanye namna tupate wepesi huku hali sio shwari...Hapa mnyororo mzima unaenda kuguswa [vipuri,mafuta,garage,wauza magari,waosha magari, etc]
.
1784279725824.png
1784279733042.png

.
Kwa Yard kwa gari zilizoingia kuanzia JULY bei zake zitakua zimechangamka sana. Imagine Kama IST kuagiza ambayo bei inatakiwa iwe chini inasoma 21++ ikifika yard itakua bei gani ? Hapa tunaweza jikuta gari zinaendeshwa Katoro tu huko Geita kwa Giesiemu..
.
Juzi kati Kuna Passo niliagiza ikatoka ushuru nikalipa 5M Leo nimecheki machine ushuru unasoma 7.1M na hii Passo Nauiza kama una OFA nzuri njoo nikupe ni CC 1000 KM 85,000 Nimekiwekea TInt YA Kibabe hata kama ni mnene ukikaa humo ndani hajui mtu
.
1784279798605.png
1784279889338.png

.
Picha zake hizi hapa kina mguu mzuri, tyre mpya android radio, carpet nimekuwekea mafuta kinanusa angalia average consumption yake hapo.
.
1784280103682.png
1784280115663.png
1784280131174.png

.
Full tank 140K Kinajaa hapo unateleza tu kama ni Arusha unaitafuta bila kukilazimisha mafuta unaenda ongeza Boma Ngombe. Sema sio cha ligi hichi mdogo mdogo tu usije kipasua bure
.
1784280309932.png
1784280431083.png
1784280447718.png

Anyway kama nguvu zipo za Kuagiza gari kwa sasa njoo au hata kama unajipanga njoo...Save this number then share jina lako na unakopatikana tukusave pia na kuna TIPS + Status ambazo huwa tunashare huko utazipata kwa wepesi na urahisi...
.
Samatime Magari
0714547598
 
Attachments

  • 1784280251004.png
    1784280251004.png
    455.3 KB · Views: 12
Huu Ushuru Sirikali iuangalie Tena Purchasing Power Ya magari is going to be affected aisee.

Imagine Toyota RUSH Nje inauzwa $6500 Kama 16.9M Hivi Pesa ya Tunguu. Halafu Tiarahei naona ushuru wanataka 15.8M Bila kupepesa Jicho mpaka hapo ni 32.7M, Ukitia na bandari charges zile walizoleta 35M Hii Hapa Pesa iliyokua inanunua Harrier tako la Nyani..
View attachment 3630830
View attachment 3630831
Jana kuna mteja alikua anatafuta IST bumper Kubwa nilimpa quote akabaki anashangaa. Gari total cost imesoma 24M na point, Yani hata zile gari za kuponea nazo zinaanza kuwa zamoto.
.
Hii Sirikali sikivu ya MAMA ifanye namna tupate wepesi huku hali sio shwari...Hapa mnyororo mzima unaenda kuguswa [vipuri,mafuta,garage,wauza magari,waosha magari, etc]
.
View attachment 3630833View attachment 3630834
.
Kwa Yard kwa gari zilizoingia kuanzia JULY bei zake zitakua zimechangamka sana. Imagine Kama IST kuagiza ambayo bei inatakiwa iwe chini inasoma 21++ ikifika yard itakua bei gani ? Hapa tunaweza jikuta gari zinaendeshwa Katoro tu huko Geita kwa Giesiemu..
.
Juzi kati Kuna Passo niliagiza ikatoka ushuru nikalipa 5M Leo nimecheki machine ushuru unasoma 7.1M na hii Passo Nauiza kama una OFA nzuri njoo nikupe ni CC 1000 KM 85,000 Nimekiwekea TInt YA Kibabe hata kama ni mnene ukikaa humo ndani hajui mtu
.
View attachment 3630837View attachment 3630838
.
Picha zake hizi hapa kina mguu mzuri, tyre mpya android radio, carpet nimekuwekea mafuta kinanusa angalia average consumption yake hapo.
.
View attachment 3630841View attachment 3630842View attachment 3630843
.
Full tank 140K Kinajaa hapo unateleza tu kama ni Arusha unaitafuta bila kukilazimisha mafuta unaenda ongeza Boma Ngombe. Sema sio cha ligi hichi mdogo mdogo tu usije kipasua bure
.
View attachment 3630845View attachment 3630848View attachment 3630849
Anyway kama nguvu zipo za Kuagiza gari kwa sasa njoo au hata kama unajipanga njoo...Save this number then share jina lako na unakopatikana tukusave pia na kuna TIPS + Status ambazo huwa tunashare huko utazipata kwa wepesi na urahisi...
.
Samatime Magari
0714547598
Basi waendeshe wao tu na watoto wao sisi tupokezane mikweche tu
 
Back
Top Bottom