Ushuru wa gari kutoka Zanzibar

Tatizo la magari toka Zanzibar unalinunua pamoja na jini lake....utashangaa unaendesha uko peke yako unasikia mtu anaongea na wewe au anakohoa toka chini ya chassis.
Acha utani basi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ushawahi kuuziwa gari na jini mzee?
 
Mkuu labda nikupe tu elimu kwa gari ilioingia Zanzibar ushuru mara nyingi hua ni nusu bei mfano umenunua gari XX 7m Japan zanzibar ushuru utakua 3.5m ila kwa mfano gari hilo hilo kama kutoka Japan kuja TZ ushuru ni 5m...kama umelinunua kutoka Zanzibar na lilishasajiliwa basi ushuru utakao lipia ni 1.5m hio inaitwa differential TAX...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…