Ushuru wa magari bandarini

Ushuru wa magari bandarini

changman

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
229
Reaction score
90
Mambozzzz!

Naombeni kwa anayejua, ni kiasi gani cha kodi unatozwa bandarini dar unapoingiza 4WD car kutoka uk? mfano ford pick up au range rover vogue?

Asanteni
 
mkuu acha uvivu nenda knye mtandao wa TRA kila kitu wameweka hadi mifano. kila la kheri.
 
Back
Top Bottom