Ushuru wa mavazi TRA

Ushuru wa mavazi TRA

1800

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
2,215
Reaction score
604
Wadau habari zenu,nakuja jukwaani hapa kuomba msaada wenu,ili niweze kufunguka macho,nilikua naomba kusaidiwa kujua,je t.r.a uwa wanafanya tozo kiasi gani kwa bidhaha kama nguo na viatu ?(mavazi kwa ujumla),nina jamaha yangu ambae yupo nchi ya magharibi,amenigusia sana tuunganishe nguvu kufanya biashara ya mavazi,kwa kua nbhi aliyopo (U.S.A) mara nyingi vitu vinavyohusiana na mavazi uwa bei ya chini sana pale zinapokua kwenye sale!amenishauri tuanzishe duka ambalo si kubwa sana kwa mikoa ya Dar,Arusha na either Dodoma au Morogoro!imebidi nikimbilie kwenu kupata ushauri kwanza kwa kua nina shaka tusije rubunika na bei rahisi ya bidhaha hizo kule Marekani,alafu kuingia hapa tukashindwa kuvitoa kwa sababu ya ushuru mkubwa!yeye mapendekezo yake ni kua tuanze kwa kuingiza 10 pieces kwa kila kitu,ili kuweza kukusanya mzigo mkubwa angalau for 2 months,then tuje anza operation by end of june!naombeni ushauri wenu wadau
 
Back
Top Bottom