Habarini wakuu!
Nina wazo la kufanya biashara ya unga wa mahindi, ulezi na mchele aina ya chopeko toka mahenge/ifakara/kilombero na kuleta Dar es salaam vyote vikiwa packed kwenye mifuko kwenda sokoni au kwa mlaji badala ya kuleta mpunga/mahindi/ulezi na kuja kukoboa hapa dar.
Je wale watu wa ushuru wa mazao barabarani wanaweza kunisumbua kwa kudai ushuru wa mchele packed kama wafanyavyo kwa mazao yasiyokobolewa au kusagwa.