Ushuru wa Parking kwenye fukwe za Dar Ni kwa Sheria ipi?

Liky

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
431
Reaction score
255
Habari wadau.
Kuna huu ushuru ambao watu wenye magari wanalipishwa wanapokuwa wanaingia kwenye fukwe za bahari kwa maelezo kuwa ni ushuru wa halmashauri.

Nimemuhoji mmoja wa watoza ushuru ila hapa Mbezi beach ila majibu yake hayaeleweki.

Mi ningependa kujua, huu ushuru wanaokatisha kwa magari unaenda kweli halmashauri? Na kama ni hivyo, ni kwa sheria gani inayoelekeza malipo haya?

Isijekuwa watu wamejiongeza wanakatisha ushuru na pesa zinaishia kwenye mikono ya wachache!
 
Taja beach,Maana hao ni wahuni wanakaa beach mpaka usiku nje ya muda wa kazi kutafuta pesa za wenye magari

Wanatoza ushuru saa tatu usiku ?
 
Habari wadau.
Kuna huu ushuru ambao watu wenye magari wanalipishwa wanapokuwa wanaingia kwenye fukwe za bahari kwa maelezo kuwa ni ushuru wa halmashauri.

Nimemuhoji mmoja wa watoza ushuru ila hapa Mbezi beach ila majibu yake hayaeleweki.

Mi ningependa kujua, huu ushuru wanaokatisha kwa magari unaenda kweli halmashauri? Na kama ni hivyo, ni kwa sheria gani inayoelekeza malipo haya?

Isijekuwa watu wamejiongeza wanakatisha ushuru na pesa zinaishia kwenye mikono ya wachache!
Tuliza mshono wewe
 
Sio TARURA?
 
Mbezi beach jirani na Ramada Hotel. Jamaa kaja kudai ushuru saa mbili usiku.
 
Ulipewa risiti?

Unavyosema ni ushuru maana yake ulipewa risiti baada ya malipo.

Hutaki kulipa ushuru?
 
Dunia ya leo hakuna cha bure
Ukishaamua kumiliki gari hesabu
Na gharama za ziada kama hizo

Ova
 
Back
Top Bottom