Taja beach,Maana hao ni wahuni wanakaa beach mpaka usiku nje ya muda wa kazi kutafuta pesa za wenye magariHabari wadau.
Kuna huu ushuru ambao watu wenye magari wanalipishwa wanapokuwa wanaingia kwenye fukwe za bahari kwa maelezo kuwa ni ushuru wa halmashauri.
Nimemuhoji mmoja wa watoza ushuru ila hapa Mbezi beach ila majibu yake hayaeleweki.
Mi ningependa kujua, huu ushuru wanaokatisha kwa magari unaenda kweli halmashauri? Na kama ni hivyo, ni kwa sheria gani inayoelekeza malipo haya?
Isijekuwa watu wamejiongeza wanakatisha ushuru na pesa zinaishia kwenye mikono ya wachache!
Tuliza mshono weweHabari wadau.

Sio TARURA?Habari wadau.

Tuliza mshono wewe
Sio TARURA?
Ulipewa risiti?
Unavyosema ni ushuru maana yake ulipewa risiti baada ya malipo.
Hutaki kulipa ushuru?
Wamekupa risiti ?Hapana, wao wanadai wamepewa tender na Halmashauri ya Kinondoni.
Kama risiti unayo ipeleke kwenye mamlaka husika kujua uhalali wake.Ushuru wa saa mbili usiku ndo unaonishtua mkuu.
Wanajua jioni watu mnaenda Beach kufanya yenuUshuru wa saa mbili usiku ndo unaonishtua mkuu.
Beach karibu zote wapo , kifupi siku hz wakiona space inafaa kupark gari ujue na wao watakuwepoUnunio pia