Ushuru wa Parking za Magari ni Kero

Ushuru wa Parking za Magari ni Kero

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
Jana nikiwa mapumziko nikapokea Meseji Kutoka TARURA kuwa nadaiwa kiasi cha 6500/= nikatumiwa na Control no ya kulipia , chaajabu kila nikitaka kulipia nakutana na deni tsh 23,500/= nikaamua kusitisha kulipa kwanza, mpaka leo nilipolipa nikakuta ni 6,500.
 
Kuna watu wanadaiwa had laki na kitu,kiukweli huu ni wizi wa ajabu.Mimi nimekuta nadaiwa elfu arobain na kitu na wala sielew imetoka wapi.
 
Kizazi cha sasa kila kitu kipo Kiganjani, Hakiki taarifa za Chombo chako mara kwa mara kuona kama unadaiwa na TARURA kwa kupiga *152*00#
 
Yaani parking tu na deni juu.
Kweli maendeleo yana changamoto zake
 
Pakini kwanza magari yenu mpaka mfumo wakatapo uweka sawa

Ova
 
Back
Top Bottom