Ushuru wa Tesla Model 3 ya 2019 ni karibia theruthi ya Ushuru wa Toyota Crown ya mwaka huo huo. #EV4Everybody!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Hapa namaanisha Tesla kutoka USA na Crown kutoka Japan.

Walivyosema wanashusha kodi za EV walimaanisha aisee. Juzi juzi Model 3 bila Mil 20+ ya ushuru usiangaike kuitafuta leo unaipata kwa Mil 14.
Muda huo huo Ushuru wa Crown generation ya 15 wamoto hatari. Unazidi Mil 38.

Hybrids hazijanufaika na ili punguzo la kodi, ni EV tu ndio wamekula shavu.

Kwa cheap altenatives kama Leaf, ya 2019 sahivi ushuru Mil 10 na ukiipata kwa Mil 13 inamaana bei swa na IST tu unaendesha Leaf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…