Ushuru wa Tesla Model 3 ya 2019 ni karibia theruthi ya Ushuru wa Toyota Crown ya mwaka huo huo. #EV4Everybody!

Ushuru wa Tesla Model 3 ya 2019 ni karibia theruthi ya Ushuru wa Toyota Crown ya mwaka huo huo. #EV4Everybody!

Hapa namaanisha Tesla kutoka USA na Crown kutoka Japan.View attachment 3623195View attachment 3623196

Walivyosema wanashusha kodi za EV walimaanisha aisee. Juzi juzi Model 3 bila Mil 20+ ya ushuru usiangaike kuitafuta leo unaipata kwa Mil 14.View attachment 3623197
Muda huo huo Ushuru wa Crown generation ya 15 wamoto hatari. Unazidi Mil 38.
View attachment 3623199
Hybrids hazijanufaika na ili punguzo la kodi, ni EV tu ndio wamekula shavu.

Kwa cheap altenatives kama Leaf, ya 2019 sahivi ushuru Mil 10 na ukiipata kwa Mil 13 inamaana bei swa na IST tu unaendesha Leaf.
Gari mil 40 inalala uani mke mahari mil 2 analala ndani..nachoka kamwe!
 
mafundi umeme wote hawa?
Issue ni battery pack na system yake ni highly integrated, pia ni usalama wake ni risk sana kutemper nayo, na garrage zake ni kama kiwanda kidogo, kwa hiyo zinahitaji ujuzi maalumu kampuni za magari ya umeme zimetengeneza hayo magari kuhakikisha battery iliharibika inabidi irudishwe kiwandani au kufanya iwe kazi ngumu kumodify au kuharibu
 
Back
Top Bottom