Ushuru wa Tesla Model 3 ya 2019 ni karibia theruthi ya Ushuru wa Toyota Crown ya mwaka huo huo. #EV4Everybody!

Gari mil 40 inalala uani mke mahari mil 2 analala ndani..nachoka kamwe!
 
mafundi umeme wote hawa?
Issue ni battery pack na system yake ni highly integrated, pia ni usalama wake ni risk sana kutemper nayo, na garrage zake ni kama kiwanda kidogo, kwa hiyo zinahitaji ujuzi maalumu kampuni za magari ya umeme zimetengeneza hayo magari kuhakikisha battery iliharibika inabidi irudishwe kiwandani au kufanya iwe kazi ngumu kumodify au kuharibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…