Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Baada yakusitisha kwa mwezi mmoja, Trump kasema Canada na Mexico hawajafanya lolote kuboresha hali ya mipakani. Basi ushuru wa 25 percent kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico umeanza kufanya kazi rasmi. China imeongezewa ushuru kufikia asilimia 20, toka 10.
Waziri mkuu wa Canada ameongea na kusema nao wameweka ushuru wa asilimia 25 kwa bidhaa za Marekani. China wamesema wataziwekea bidhaa za Marekani ushuru wa kati ya asilimia 10-15. Mexico bado hawajajibu.
Mexico, Canada na China ni mataifa yanayoongoza kwa kuuza bidhaa Marekani.
Waafrika tunawezaje kufaidika na vita hii?