Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Eleza practicability yake ipoje?Tanzania tungekuwa na viongozi wenye akili hiyo ndio ingekuwa ni fursa ya kupaisha uchumi wetu na kupunguza umaskini lakini kwa bahati mbaya sisi tuna watawala ambao nia yao ni kuwa madarakani kwa maslahi binafsi na kulewa sifa toka kwa wajinga wachumia tumbo.
Wenzio wanawaza derby ya Simba na yanga wewe unawaza fulsa za kiuchumi. PoleTanzania tungekuwa na viongozi wenye akili hiyo ndio ingekuwa ni fursa ya kupaisha uchumi wetu na kupunguza umaskini lakini kwa bahati mbaya sisi tuna watawala ambao nia yao ni kuwa madarakani kwa maslahi binafsi na kulewa sifa toka kwa wajinga wachumia tumbo.
Tanzania kipi tunauza Europe au US hata Kenya hapa na Uganda hatuna export za maana zaidi ya nafaka za misimu, kwahiyo hata ungeweka kodi kubwa kwa bidhaa zinazo toka nje utakacho sababisha ni maisha magumu kwa raia, nchi yetu katika uchumi wa dunia bado kabisaTanzania tungekuwa na viongozi wenye akili hiyo ndio ingekuwa ni fursa ya kupaisha uchumi wetu na kupunguza umaskini lakini kwa bahati mbaya sisi tuna watawala ambao nia yao ni kuwa madarakani kwa maslahi binafsi na kulewa sifa toka kwa wajinga wachumia tumbo.
Hujafikiria tu ukifsnya hivyo kwa nchi ambayo isi indasrialization ni kujipiga tu risasi mguun hamna cha maana utakacho achieve .. china ndo wanaweza hiloTanzania tungekuwa na viongozi wenye akili hiyo ndio ingekuwa ni fursa ya kupaisha uchumi wetu na kupunguza umaskini lakini kwa bahati mbaya sisi tuna watawala ambao nia yao ni kuwa madarakani kwa maslahi binafsi na kulewa sifa toka kwa wajinga wachumia tumbo.
CCM watapata mwanya wa kupandisha bidhaa kwa kisingizio cha mataifa makubwaWaafrika tunawezaje kufaidika na vita hii?
Wenye akili wanafanyagq hivo wakijua wana alternative, means hizo bidhaa zinazo ingia nchini mwao kutoka nje wao pia wanazo, kuliweka kodi kubwa tafsiri yake ndio hiyo, vitu kutoka nje ya nchi bei yake itakua kubwa kulinganisha na vya ndani and hence wananchi wata opt kununua local made; kwetu tunaweka ushuru mkubwa kwenye mafuta, magari na vingine ambavyo hatu produce halafu unapunguza kodi kwenye betting, na bidhaa ambazo tunazalisha kama juice nk. Very interestingsasa hiyo itakuwa inamaana gani kama marekani wamewekea ushuru mkubwa kwa bidhaa zinazo ingia nchini mwao, halafu mwisho wa siku hiyo kodi anakuja kuilipa mtumiaji wa mwisho ambaye ndio mmarekani mwenyewe.
Inasikitisha sana kwa kweliTanzania tungekuwa na viongozi wenye akili hiyo ndio ingekuwa ni fursa ya kupaisha uchumi wetu na kupunguza umaskini lakini kwa bahati mbaya sisi tuna watawala ambao nia yao ni kuwa madarakani kwa maslahi binafsi na kulewa sifa toka kwa wajinga wachumia tumbo.
Tafuta humu India, Vietnam, Malaysia na Indonesia zinavyojipanga tayari kutumia fursa ya ushuru iliyoongezwa na Marekani dhidi ya China.Eleza practicability yake ipoje?
Hatuna uongozi ndio maana yake. Tuna watu ambao kwao uongozi ni ulaji. That's all.Tanzania kipi tunauza Europe au US hata Kenya hapa na Uganda hatuna export za maana zaidi ya nafaka za misimu, kwahiyo hata ungeweka kodi kubwa kwa bidhaa zinazo toka nje utakacho sababisha ni maisha magumu kwa raia, nchi yetu katika uchumi wa dunia bado kabisa
Ndio fursa ya nchi ambazo hazilengwi na ushuru huo kupeleka bidhaa zao Marekani. That's all.sasa hiyo itakuwa inamaana gani kama marekani wamewekea ushuru mkubwa kwa bidhaa zinazo ingia nchini mwao, halafu mwisho wa siku hiyo kodi anakuja kuilipa mtumiaji wa mwisho ambaye ndio mmarekani mwenyewe.
Watanzania wote wako hivo hata ukiangalia tasisi za chini watu ni walaji hawana utendaji wana upendeleo ufisadi wizi nk. Kwahiyo ustagemee Tanzania kubadilika leo au kesho.Hatuna uongozi ndio maana yake. Tuna watu ambao kwao uongozi ni ulaji. That's all.
Maana yake asinunue China anunue vya ndani sababu vitu vya china bei chee kwaiyo waki compare saiv mtu ana ona Bora bidhaa Fulani ainunue tu Marekani sababu bei zitakua sawa na quality unaweza kuta ya USA ipo juu na akuna bidhaa inazalishwa china Marekani aipo tofauti ni bei tuuhsasa hiyo itakuwa inamaana gani kama marekani wamewekea ushuru mkubwa kwa bidhaa zinazo ingia nchini mwao, halafu mwisho wa siku hiyo kodi anakuja kuilipa mtumiaji wa mwisho ambaye ndio mmarekani mwenyewe.