Ushuzi waharibu kikao cha bunge la Kenya

Ushuzi waharibu kikao cha bunge la Kenya

Mjadala mkali juu ya hali ya masoko ulikatizwa ghafla kwa harufu kali ya ushuzi.

Kadhia hiyo haikutokea sokoni ama mtaani, bali ni kwenye ukumbi wa Bunge la Kaunti ya Homa Bay, Magharibi kwa Kenya.

"Mheshimiwa Spika, mmoja wetu hapa amechafua hali ya hewa," Bw Julius Gaya anaripotiwa kupiga ukelele akiwa kwenye kikao cha Bunge.
Hao watu useless
 
Screenshot_2019-08-09-21-10-00-534_com.android.chrome.png
Screenshot_2019-08-09-21-10-24-090_com.android.chrome.png


 
Hii story nilidhani ni uongo hadi nilipoiona mwenyewe BBC..ama kweli Wakenya mmeshindikana..hv mnakwama wapi. Hadi vitu vidogo kama kujamba ndani ukumbi bunge mnataka iwe habari dunia mzima? Au ndiyo katika kuifanya nchi yenu iwe maarufu?
 
pengine ni mheshimiwa gavana aliamua kupuliza baraka zake hewani ili kila anusaye apate baraka
 
hahahahaha ss kama wabunge wa keny wana waza mishahara mikubwa tu kwann wasiachie mashuzi uko mjengoni...ndio maana yule mwengine akawaza kuwapiga watz na wachina
 
Lakini jamani kuna mazingira huwa inakera sana ,kuna ushuzi unanuka sana.Sasa sijui tufanyeje maana hata anaejamba si kwamba anapenda, ni kwamba anaishukuru nature.Na ukweli kiubana ushuzi nako si jambo la kiafya sana,kunaumiza

Basi ni changamoto tu
 
Kule Turkana, Pokoti raia wanakufa njaa; huku Nairob kwrnye kikao baba mmoja anachafua hewa kwa kuvimbiwa.
 
Back
Top Bottom