Usia kwa Walimu 2014/2015

mayowela

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,753

  • tulieni muda ukifika yatatoka,alietoa kauli pia ni binadamu kama leo ni weekend wakati anatoa kauli hakujua tar25 ni lini..?,wewe mwalimu unawaza hivi na umeahidiwa ajira je aliesoma sheria,uhasibu,masoko anahari gani na ulimaliza nae chuo mwaka mmoja, ambae hajui lini atapata hata hiyo laki nne na nusu,Pia wale lelemama wawe tayari kutoa pesa ili wa hamishwe vituo,...Nawatakia kila la kheri huko muendako kama ni Kazula mimba,Ulindi wa noni,Mpuwi,Chala,Maji moto au Katumba mkapige kazi msilete njonjo mkakimbia vituo vya kazi maana wengi wenu enzi mko chuo mlikuwa mnamaisha ya kuangalia Series,Kwenda club,unywaji wa pombe wengine ma deej wa hostel na kila mtu aliishi maisha mazuri kama wote mmetoka familia moja,wengi wenu mlijitambulisha kuwa mnatoka DAREESSALAAM na ARUSHA utafikiri sehemu zingine watu hawaishi,kajifunzeni kuishi vizuri na NZENGO huko hakuna mate.......................... ....KILA LA KHERI WALIMU.............Ni usia wangu mdogo tu...(MWALIMU NDIO MKOMBOZI WA TAIFA)​



 
shukran kwa wosia. but kila mtu alivyokuwa anasomea chuo alikuwa anajua kama anaajiriwa direct au anajitafutia ajira but kwa upande wa walimu ni kama sheria lazma serikali iajira. watoto wengi wa wakulima wamesoma education iliwaajiriwe direct
 

Kweli JF imekuwa kama FB.
 
Mnaisubiria meli uwanja wa ndege
 

Swala la kuachia ajira aliangalii wikiend post nyingi huwa zinatoka jmos.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…