mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,125
- 1,753
- tulieni muda ukifika yatatoka,alietoa kauli pia ni binadamu kama leo ni weekend wakati anatoa kauli hakujua tar25 ni lini..?,wewe mwalimu unawaza hivi na umeahidiwa ajira je aliesoma sheria,uhasibu,masoko anahari gani na ulimaliza nae chuo mwaka mmoja, ambae hajui lini atapata hata hiyo laki nne na nusu,Pia wale lelemama wawe tayari kutoa pesa ili wa hamishwe vituo,...Nawatakia kila la kheri huko muendako kama ni Kazula mimba,Ulindi wa noni,Mpuwi,Chala,Maji moto au Katumba mkapige kazi msilete njonjo mkakimbia vituo vya kazi maana wengi wenu enzi mko chuo mlikuwa mnamaisha ya kuangalia Series,Kwenda club,unywaji wa pombe wengine ma deej wa hostel na kila mtu aliishi maisha mazuri kama wote mmetoka familia moja,wengi wenu mlijitambulisha kuwa mnatoka DAREESSALAAM na ARUSHA utafikiri sehemu zingine watu hawaishi,kajifunzeni kuishi vizuri na NZENGO huko hakuna mate.......................... ....KILA LA KHERI WALIMU.............Ni usia wangu mdogo tu...(MWALIMU NDIO MKOMBOZI WA TAIFA)