Nawasalimieni wana Jf katika jukwaa hili, naomba kuuliza kama kichwa cha habari kilivyo ! !
Mfano; Marehemu alikuwa na wake wawili kwa muda mrefu wakati wa uhai wake, yeye na familia yake kwa ujumla wanazo mali kikubwa zidi ni nyumba tano, na katika kuchangia kwenye utafutaji wake wote walichangia sawa kwa sawa na wazijenga sawa kwa sawa,
Katika kuolea ndani ya ndoa mke mkubwa ana miaka 42 na mke mdogo 35 ya ndoa hadi mme wao kufariki.
Baada ya kufa usia aliouacha ni kama ufuatavyo:
Mke mkubwa apewe nyumba mbili tu na mke mdogo apewe nyumba tatu, n huo usia umekamilika kwani una ushahidi wa kutosha na maandishi mbele ya wakili.
TATIZO: Mke mkubwa anadai hakutendewa haki …. …. …. …. NI NINI MAAMUZI SAHIHI ?
TUFUATE USIA WA MAREHEMU AU KUUPUUZA NA KUWAGAWIA SAWA KWA SAWA ?..