Usiache kula karanga kamwe

Ulaji wa karanga zisizo safi (chafu) au zilizoharibika kwa sumukuvu fangas wenye sumu (Aflatoxins) ni hatari kwani unajiweka katika hatari ya 1. Kuharisha 2. Kupata cancer.
 
Daaah wakuu ,karanga mbichi nakula sanaa na napendelea sana kula,ilaa tatizo langu nikila sana, lanzima niende chooni,na napata choo kilaini sanaa mixture kuendesha..
Nimenunua pakiti za karanga zilizosagwa,ziwekwe kwenye mboga,nipate tiba ya constipation,hope itanisaidia.
 
Anasemea karanga zinalsta mawe kwenye figo ni muongo sana aiseee..

Mimi nakula sana karanga ila sanassna ni za kukaangwa..
 
Mkuu utakuwa umelima sana karanga sio
 
Daaah wakuu ,karanga mbichi nakula sanaa na napendelea sana kula,ilaa tatizo langu nikila sana, lanzima niende chooni,na napata choo kilaini sanaa mixture kuendesha..
Ni kutokana na mafuta yake
 
Daaah wakuu ,karanga mbichi nakula sanaa na napendelea sana kula,ilaa tatizo langu nikila sana, lanzima niende chooni,na napata choo kilaini sanaa mixture kuendesha..
  • Unakula zilizooza.
  • Unakula zilizo na fungus
Suluhisho:
  1. Kula kalanga zenye afya
  2. Kula kalanga zilizokaangwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…