USIACHE KUSALI: Kuna watu wanakuombea mifarakano, umasikini, magonjwa, nuksi na mengine mabaya kibao

USIACHE KUSALI: Kuna watu wanakuombea mifarakano, umasikini, magonjwa, nuksi na mengine mabaya kibao

Hiyo clip inawezekana mhusika alikuwa anaigiza, lakini kiuhalisia kuna njia rahisi sana za kumuadhibu mbaya wako.

Kwa kadude kanakouzwa sh 100 au 200 unamtia adabu adui.

SIJIBU PM
 
Hiyo ndio inaitwa fitna mfiti binadamu moyo wake una viraka
 
Wabaya wapo
Shetani yupo
Mungu yupo

Na kikubwa ni kuwa Maombi yapo na Yanafanya kazi 100%.

Usiyeamini hulazimishwi lakini kwa sisi yaliotukuta na kushuhudia kwa macho yetu ubaya watu wanafanya na namna Mungu alivyoingilia kati kutusaidia wala hatushangai haya.

tunawashangaa tu hawa wanaoyakataa japo htuwa judge. Wakat wao bado wa kuyajua hya
 
Back
Top Bottom