Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaha! Ungevaa na kichwani kabisa mkuu, au ulikuwa nayo moja tu?
Halafu ukute ulivyoambiwa ulitabasamu kweli kwakuwa ulikuwa unaongozwa na halmashauri ya kichwa kidogo, baada ya kukaa ukatulia akili ikarudi makao makuu ndio umekuja huku...
hahahahahahaha mkuu hii kali itakuwa ilikukuta nini?Tokea hapo hamuaminiani hadi unavaa condom...
Bora hata kakuambia umependeza, je angekuambua kwa nini usitumie aina fulani ni nzuri zaidi wakati hujawahi kutumia nae hiyo aina anayoitaja hata siku moja...
Cc: mahondaw
Dah amuishiwe maluweluweNimeacha kuwaamini wanawake kabisa maana juzi nilikuwa chumbani na mpenzi wangu nikavua nguo zote na yeye akavua na baada ya hapo nikavaa kondomu.Ila sikuamini alichoniambia na ndio hapo ukawa mwisho wangu kumuamini mwanamke kabisa maisha yangu.
Wakuu naandika hapa kwa masikitiko makubwa sana baada ya mimi kubaki na kondomu tu nimeivaa halafu akaniambia "Baby umependeza"
Wakuu sikuwahi kudhani katika maisha yangu kuwa kondomu inaweza kumpendeza mtu na kusifiwa kabisa kuwa nimetoka chicha.
Nasisitiza kuwa sijaipokea sifa yake na sihitaji kuisikia na sitomwamini tena.