Usiamini kila unachoambiwa na mwanamke,suala hili limenifedhehesha sana

Mkuu Kweli ulimgegeda hapo

Maana hamu yote kwishenei
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha, wewe jamaa bana kwani ndo umewajua baada tu ya hilo tukio
 
Tokea hapo hamuaminiani hadi unavaa condom...

Bora hata kakuambia umependeza, je angekuambua kwa nini usitumie aina fulani ni nzuri zaidi wakati hujawahi kutumia nae hiyo aina anayoitaja hata siku moja...

Cc: mahondaw
 
Hahahahahaha! Ungevaa na kichwani kabisa mkuu, au ulikuwa nayo moja tu?

Halafu ukute ulivyoambiwa ulitabasamu kweli kwakuwa ulikuwa unaongozwa na halmashauri ya kichwa kidogo, baada ya kukaa ukatulia akili ikarudi makao makuu ndio umekuja huku...

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tokea hapo hamuaminiani hadi unavaa condom...

Bora hata kakuambia umependeza, je angekuambua kwa nini usitumie aina fulani ni nzuri zaidi wakati hujawahi kutumia nae hiyo aina anayoitaja hata siku moja...

Cc: mahondaw
Mkuu hapo ningebaki na maswali mengi kuliko majibu
 
Tokea hapo hamuaminiani hadi unavaa condom...

Bora hata kakuambia umependeza, je angekuambua kwa nini usitumie aina fulani ni nzuri zaidi wakati hujawahi kutumia nae hiyo aina anayoitaja hata siku moja...

Cc: mahondaw
hahahahahahaha mkuu hii kali itakuwa ilikukuta nini?
 
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ Huenda aliona umeivaa kimadoido mkuu hahaha.....iliwahi kunikuta hiyo japo nilichukulia utani nikamwambia na wewe umependeza ulivonyoa kipara basi tukarushiana vimito shughuli ikaendelea take it simple
 
Dah amuishiwe maluweluwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…