Usiangalie kigezo cha "Mambo mengi" tu kwa mchumba wako zingatia na "Financial management skills" zake.

Usiangalie kigezo cha "Mambo mengi" tu kwa mchumba wako zingatia na "Financial management skills" zake.

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Watu wengi sana huchunguza kigezo cha uchepukaji tu kwa mchumba wake kabla ya kuamua kufunga naye pingu za maisha.

Mimi Sexless kama kungwi mzoefu naomba niwaase ya kwamba kuchepuka hakuepukiki na kunavumilika sana na wanandoa walio wengi, ili mradi tu mwenzi wako asikuone.

Cha kuzingatia sana ktk kuchagua mchumba ni nidhamu ya matumizi ya fedha. Mume/mke asiyekuwa na nidhamu ktk matumizi ya fedha atakufelisha maisha, na kukufanya uwe mlevi ama mchepukaji.

Ogopa sana mchumba ambaye ni kinyonya damu (yaani hana simile ktk matumizi ya hela), huyu atakudafitisha na kukutoa kwenye reli ya mipango yako ya maisha.

Nimemaliza!
 
Watu ukiwauliza walivutiwa na nini kwa wenza wao wengi hawana majibu..
nayo hayana formula[emoji814]
 
Back
Top Bottom